Ramadhan Qur'an Contest 1430AH (2009)

 

(Picha na Ali Muhidin)

Matokeo ya Washindani wa Ramadhan Qur'an Contest 1430AH kutokana na Majaji

Mshindi wa kwanza - Omar Salim

Mshindi wa pili - Rafia Al-Miskry

Mshindi wa tatu - Haroon Kassim

Mshindi wa nne - Hosam Mohammed

Mshindi wa tano - Anwar Ali

Mshindi wa sita - Ahmed Ahmed

Mshindi wa saba - Saliha Kassim

(Washindani wa mashindano ya Qur'an wote ni Washindi)

Mashindano ya mwaka huu yalikuwa na majaji watatu ambao wote waliangalia Hifdhi ya washindani, Hukmu na Lafdhi, Sauti, Confidence na Appearance:

Majaji

Sheikh Issa Mujaahid

Ustadh Sabry El Abry

Ustadh Yusuf Abdillahi

Mtangazaji

Ustadh Abdallah

Shukran

Ustadh Masoud Adam

Ustadh Khamis Faki

Ustadh Khalfan

Ustadh Said Kombo

Sheikh Issa

Ustadh Sabry

Ustadh Yusuf

Ustadh Ali Nassor

Ustadh Farid

Ustadh Ali Ahmed

Al-hajj Abdul-Ghafour

Islam Ahmed

Omar Khalef

Munawwar Mussa

Fahad Abdallah

Ali Muhidini

Amin Mohammed

Na wote ambao wamechangia njia moja au nyingine...

- Jazaaka Allahu Khayran -

Tunawaomba mtuunge mkono kusimamisha jambo hili kila mwaka inshallah, maelezo zaidi tuma email:

info@salamatrust.com

- Wabillahi Tawfeeq -

Salama Charitable Trust

 

 

 

:::: © Salama Charitable Trust ::::