|
MUHADHARA - Barking, East London

Tukio:
Muhadhara - Barking, East London.
Siku:
Tarehe 14 Raby' Al-Awal 1431AH (28/02/2010).
Wakati:
saa kumi (4pm - 7pm).
Maelezo:
-
Wote mnaalikwa.
-
Mhadhara kwa lugha
ya Kiswahili.
-
Ukumbi unachukua
takriban watu 120.
-
Nafasi ya wanawake
takriban 20 (mbali na wanaume).
Mahali:
30 North Street, Barking, London Borough Of Barking & Dagenham, Essex,
IG11 8AW.
Maelezo ya Ziada: Wasiliana na
Ustadh Ali Nassor +44 (0) 7947597264 au Ustadh Daud Juneja +44 (0)
7882442699 au Ofisi ya Alnoor CET +44 (0) 20 8594 3100 au Email:
alnoor@alnoorcet.co.uk
Matangazo yamepokewa kutoka kwa:
Alnoor CET.

Zingatia: hakikisha
kompyuta yako ina 'support' maandishi ya kiarabu kwa kusoma
maandishi yaliyoandikwa kwa kiarabu kwenye website hii.
|