|
Bi Nasra Al Abri afariki dunia

إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا
إِلَيْهِ رَاجِعونَ

Tunasikitika kutangaza kifo cha Amoo wake
Ustadh wetu Sabri, Bi Nasra Al Abri kilichotokea huko Zanzibar.
Allah awape Subra ndugu, jamaa na marafiki
na ampe makazi mema marehemu peponi Amen.
Zingatia: hakikisha
kompyuta yako ina 'support' maandishi ya kiarabu kwa kusoma
maandishi yaliyoandikwa kwa kiarabu kwenye website hii.
|