|
TAHFIDHUL QUR'AN

Salama Trust inafuraha
kuwajulisha kufunguliwa kwa chuo cha kuhifadhisha Qur'an ambacho
kitaendeshwa katika msikiti wa Barking, East London na Ustadh Sabri na
Ustadh Yusuf.
Hatua hii imefurahiwa kwa
kuona watoto watashajiishwa katika kuhifadhishwa Qur'an.
Maelezo zaidi bonyeza
hapa chini:


Zingatia: hakikisha
kompyuta yako ina 'support' maandishi ya kiarabu kwa kusoma
maandishi yaliyoandikwa kwa kiarabu kwenye website hii.
|